KOCHA wa timu wa timu ya Shaba ya Kojani inayoshiriki ligii kuu ya Zanzibar Ali Dau akizungumza na mwandishi wa habari wa kituo cha redio cha Zenj FM Is-haka Mohamed Rubea mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu Zanzibar kanda ya Pemba uwanja wa Gombani ambapo Shaba illala kwa mabao 7-1 (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Askofu Mwankenja ahimimiza watanzania kupiga kura Oktoba 29
-
Na Mwandishi Wetu
Askofu wa Kanisa la Furahini katika Bwana la jijini Dar es Salaam
Dkt.Ezekiel Mwankenja amesema kuwa Watanzania kujitokeza katika kupiga ...
7 hours ago

Assalamu Alaykum!! Sasa jamani hii timu ya Shaba imecheza na nani!!
ReplyDelete