Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Radhia Rashid Haroub kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] {15/05/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Bi,Radhia Rashid Haroub baada yakumuapisha rasmin leo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ leo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] {15/05/2016.
Bi,Radhia Rashid Haroub baada ya kumuapisha rasmin leo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SM,[Picha na Ikulu.] {15/05/2016.
STATE
HOUSE ZANZIBAR
OFFICE OF
THE PRESS SECRETARY
PRESS RELEASE
Zanzibar 15.5.2016

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Radhia Rashid Haroub kuwa Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ.
Hafla ya kumuapisha Katibu
Mkuu huyo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbali
mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Miongoni mwa viongozi
hao ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza
la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Issa Haji Gavu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara
Maalum za SMZ Haji Omar Kheir.
Wengine ni Mwanasheria
Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said, Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman
Ngwali, Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis, Meya wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar
Khatib Abrahman Khatib, Wakuu wa Vikosi vya SMZ, Washauri wa Rais wa Zanzibar
na viongozi wengine wa Serikali.
Rajab Mkasaba, Ikulu
Zanzibar
Postal Address: 2422
Tel.:0777427449. Fax: 024 2231822
No comments:
Post a Comment