Habari za Punde

Zoezi la Ugawaji wa Vyandarua kwa Shehia ya Kibweni Wilaya ya Magharibi A, Unguja.

Makarani wa Shehia ya Kibweni wakipitia majina ya Wakaazi wa Shehia ya Kibweni wakati wa kutowa Vyandarua kwa ajili ya Wananchi wa shehia hiyo ili kujikinga na maambukizi ya mbu wa malaria. Zoezi hilo la ugawaji wa Vyandarua linafanyika katika Mikoa yote ya Zanzibar  
 Wananchi wa Shehia ya Kibweni wakiwa katika makaazi ya Sheha wa Kibweni wakati wa zoezi hilo la ugawaji wa vyandarua hivyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.