Habari za Punde

Makamu wa Mwenyekiti wa CCM ziarani Wilaya ya Kaskazini A kwa ajili kuwashukuru

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni leo alipofika katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Kaskazini “A” kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 04/06/2016.
 Wanachama Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa  Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Kaskazini “A” uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni  kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 04/06/2016.

Risala ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya kaskazini “A”Unguja inayosomwa na Yussuf Shaaban Shaibu wakati wa mkutano wa Viongozi wa wilaya hiyo wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Maskani na Makatibu,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,ambapo aliwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi wa uchaguzi Mkuu wa marudio ulifanyika mwezi machi mwaka huu. [Picha na Ikulu.] 04/06/2016. Mwenyekiti wa Wilaya ya Kaskazini “A” CCM Ali Makame Khamis alipokuwa akimakaribisha Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo wakati wa mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Kaskazini “A” uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni  kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 04/06/2016.

 Wanachama Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano  wa  Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Kaskazini “A” uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni  kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 04/06/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi wa CCM wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Kaskazini “A” uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,(kulia) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na (kushoto) Mwenyekiti wa Wilaya ya Kaskazini “A” CCM Ali Makame Khamis [Picha na Ikulu.] 04/06/2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi wa CCM wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Kaskazini “A” uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza  kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu, [Picha na Ikulu.] 04/06/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.