Habari za Punde

Timu za Mafunzo, Black Sailor na KmKm Zinawania Nafasi Moja Ligi Kuu ya Zanzibar

Vilabu vitatu kati ya vinne vitakavyoingia hatua na nane bora kwa upande wa Unguja vimeshajulikana huku mtifuano ukibakia kwa nafasi moja.


Nafasi hiyo inawaniwa na vilabu vya Mafunzo, Black Sailor na KMKM.

Kama kawaida msimamo huo piga hesabu za vidole 


POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
JKU
25
17
3
5
45
14
31
54
2
ZIMAMOTO
25
12
9
4
33
15
18
45
3
KVZ
25
13
5
7
29
21
5
44
4
MAFUNZO
25
10
10
5
25
15
10
40
5
B/ SAILOR
25
10
9
6
22
18
4
39
6
KMKM
25
10
8
7
32
25
7
38
7
JANG’OMBE
26
8
10
8
26
28
-2
34
8
KIPANGA
24
8
10
6
25
20
5
34
9
MIEMBENI
25
8
8
9
25
32
-7
32
10
KIMBUNGA
24
9
2
13
37
42
-5
26
11
CHUONI
24
6
8
10
21
28
-7
26
12
KIJICHI
25
4
10
11
18
27
-9
22
13
POLISI
26
5
8
13
21
28
-7
23
14
MTENDE
24
2
4
18
13
59
-46
10
Jumla yabao 372 yameshafungwa kupitia michezo 171

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.