Habari za Punde

Uzinduzi wa Kamati ya Maendeleo yac Jimbo la Amaan Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jimbo hilo uliofanyika katika Afisi za CCM Wilaya ya Amani Kichama.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akimkabidhi seti ya Komputa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Jimbo la Amani Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akimkabidhi seti ya Komputa Mwali mu Mkuu wa Skuli ya Faraja ikiwa ni ahadi ya Mwakilishi wa Jimbo la Amani alioitowa kwa Skuli hiyo.wakati wa hafla ya Mahafali ya Skuli hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.