MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, August 24, 2016

Ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Amani mkabala na Skuli ya Nyerere jana

 Wananchi wakijaribu kulinyanyua gari la kifusi kujaribu kuokoa maisha ya baadhi ya waathirika waliofunikwa na kifusi baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu za breki wakati likijaribu kupanda Mlima wa Welezo na kurudi chini kwa kasi.


Baadhi ya wananchi wakishuhudia ajali hiyo 
Inasemekana watu mtu mmoja alifariki papohapo na watatu wamelazwa hospitali kwa matibabu na kuna wengine walitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani.