MWANAHARAKATI wa masuala ya Wanawake Kisiwani Pemba,
ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Salama Mbarouk Khatib,
akiwasilisha mada ya Changamoto zinazowakabili wanawake, katika Mafunzo ya siku
tatu kwa waandishi wa habari Pemba, yaliyoandaliwa na Pemba Press Cluba kwa
ufadhili wa TMF, juu ya utekelezaji wa mradi wa SAUTI YANGU MTAJI WANGU, katika
ukumbi wa uwanja wa michezo Gombani.(Picha
na Abdi Suleiman, Pemba.)
MWAKILISHI kutoka Mfuko wa Vyombo vya habari
Tanzania (TMF) Radhia Mawanga, akichangia mada katika mkutano wa waandishi wa
habari kisiwani Pemba, ulioandaliwa na Pemba Press Cluba kwa ufadhili wa TMF,
juu ya utekelezaji wa mradi wa SAUTI YANGU MTAJI WANGU, katika ukumbi wa uwanja
wa michezo Gombani.(Picha na Abdi
Suleiman, Pemba.)
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya
habari Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Mfuko wa Vyombo
vya Habari Tanzania (TMF), mara baada ya kumaliza mafunzo ya siku tatu
yaliyoandaliwa na Pemba Press Club kwa ufadhili wa TMF, juu ya utekelezaji wa
mradi wa SAUTI YANGU MTAJI WANGU, katika ukumbi wa uwanja wa michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
WAANDISHI wa Magazeti wakijadiliana mambo mbali
mbali wakati wa kazi za vikundi, kwenye mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na
Pemba Press Cluba kwa ufadhili wa TMF, juu ya utekelezaji wa mradi wa SAUTI
YANGU MTAJI WANGU, katika ukumbi wa uwanja wa michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
No comments:
Post a Comment