WAUMINI wa dini ya kiislamu waliojumuika na
Rais wa Zanzibar katika sala ya Eid-el Hajji iliofanyika uwanja wa Fire
bandarini Mkoani Pemba, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
WAUMINI wa dini ya kiislamu waliojumuika na
Rais wa Zanzibar katika sala ya Eid-el Hajji iliofanyika uwanja wa Fire
bandarini Mkoani Pemba, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Mhe: Ali Mohamed Shein, katikati, akiwa kwenye ibada ya sala ya idd –el hajj iliyofanyika uwanja wa Fire Mkoani bandarini, ambapo waumini kadhaa wamejitokeza kwenye sala hiyo, (Picha na Nassor, Pemba).
WAPIGA picha kutoka vyombo mbali mbali vya
habari vya Zanzibar, wakisikiliza hutuba ya sala ya Eid-el Hajii iliotolewa na
sheikh Ali Adam Makame, kwenye sala ya Eid-el Hajji iliohudhuriwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe: Dk Ali Mohamed Shein,
iliofanyika uwanja wa Fire Mkoani bandarini, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Mhe: Ali Mohamed Shein akisalimiana na watoto waliohudhuria sala ya ya Idd el hajj iliofanyika uwanja wa Fire Mkoani bandarini, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment