WANAFUNZI ambao ni mayatima wakiwa na walezi wao,
wakasikiliza kwa makini hutuba ya mgeni rasmi, wakati wa utoaji wa sadaka kwa
watoto mayatima kisiwani Pemba, waliopo chini ya Taasisi ya Samail Academy
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
AFISA mdhamini Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Pemba, Jokha Khamis Makame akizungumza na watoto mayatima na
walezi wao, wakati wa utoaji wa sadaka kwa watoto hao waliochini ya taasisi ya
Samail Academy Kisiwnai Pemba.(Picha na
Abdi Suleiman, Pemba.)
AFISA mdhamini Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Pemba, Jokha Khamis Makame, akimkabidhi bahasha ya fedha mtoto
Nahla Gharib Omar ambaye ni yatima, wakati wa utoaji wa sadaka kwa watoto hao
walipo chini ya taasisi ya Samail Academy Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
No comments:
Post a Comment