MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, October 11, 2016

Bunge la Afrika Mashariki Kuanza Mkutano Wake Zanzibar Leo.


Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa nje ya Jengo la Baraza wakibadilishana mawazo kabla ya kuaza kwa Bunge hilo leo Mjini Zanzibar.