Habari za Punde

Kikosi cha KMKM chaandaa mashindano maalum ya Kilomita 10

 Mwenyekiti wa Kikosi cha Kuzuia Magenzo Zanzibar (KMKM) Sports Club Kapteni Khatib Khamis Mwadini akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu mbio za Kilomita 10  zitakazofanyika tarehe 29 mwezi huu kuanzia Makao Makuu ya kikosi hicho  Kibweni na kumalizikia Uwanja wa Maisara Mjini Zanzibar.

 Mwenyekiti wa Kikosi cha Kuzuia Magenzo Zanzibar (KMKM) Sports Club Kapteni Khatib Khamis Mwadini akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu mbio za Kilomita 10  zitakazofanyika tarehe 29 mwezi huu kuanzia Makao Makuu ya kikosi hicho  Kibweni na kumalizikia Uwanaja wa Maisara Mjini Zanzibar.

 Mwenyekiti wa Chama cha riadha Zanzibar Abdulhakim Cosmas akitoa maelekezo juu ya mbio za Kilomita 10 zilizoandaliwa na Kikosi cha KMKM katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya Kikosi hicho Kibweni.

 Mwandishi wa Habari wa Star TV Abdalla Pandu akiuliza swali wakati wa mkutano wa maandalizi ya mbio za kilomita 10 zilizoandaliwa na Kikiso cha KMKM.
Mwenyekiti wa Kamati ya ufundi wa mbio za Kilomita 10 za KMKM Luteni Mlingi Mganga Bwire akijibu maswala yaliyoulizwa na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Kikosi hicho Kibweni Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.