Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Timu ya Taifa ya Jangombe na KMKM. Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Usiku Timu hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungana.

 Mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kati ya Timu ya Taifa ya Jangombe na Timu ya KMKM uliofanyika usiku na kuwa na watazamaji wengi wakifuatilia timu yao ya Taifa ya Jangombe. Kama linavyoonekana jukwaa la urusi likiwa limejaa mashabiki wa timu hiyo inaongoza kuwa na mashabiki wengi Zanzibar kupita timu zote zinazoshiriki ligi hiyo.
 Benchi la ufundi la Timu ya Taifa ya Jangombe wakifuatilia mchezo huo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa amaan Zanzibar usiku na timu hizo kutoka sare ya bila kufungana. 
  Benchi la ufundi la Timu ya KMKM,wakifuatilia mchezo huo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa amaan Zanzibar usiku na timu hizo kutoka sare ya bila kufungana. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.