Muogeleaji Natalie Sanford Charlotte mwenye umri wa miaka tisa kutoka Morogoro International School alieshiriki michezo nane na kunyakuwa medali sita za dhahabu na mbili za fedha akiwaongoza wenzake na kuwa mshindi wa kwanza kwa upande wa watoto. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
JACKLINE ISARO ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA NGOKOLO
-
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jackline Isaro akionesha Fomu ya Maombi
ya Kugombea Nafasi ya Udiwani katika Kata ya Ngokolo Jimbo la Shinyanga
Mjini k...
52 minutes ago
No comments:
Post a Comment