Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Pemba.

 MJUMBE wa baraza la wawakilishi nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba Mhe: Zulfa Mmaka Omar, akiwa kwenye usafi maalum wa hospitali ya Chakechake, kabla ya kuitembelea na kaikagua na kuwapa zawadi watoto waliolazwa hospitalini hapo
 MJUMBE wa baraza la wawakilishi Zanzibar nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba Mhe: Zulfa Mmaka Omar, akiwakabidhi wazazi wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Chakechake, ambapo kabla alishirikiana na vijana kadhaa, katika usafi wa kimazingira hospitalini hapo

 MKURUGENZI wa mashitaka Zanzibar Ibrahim Mzee Ibrahim, akiwa katika kikao cha kazi na waendesha mashitaka wa ofisi hiyo kisiwani Pemba, wakati alipokutana nao na kubadilisha uzoefu mjini Chakechake
Daktari  Dhamana  wa hospitali ya Chakechake Pemba Ali Habib, akitoa neno la shukuran kwa mjumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba,  Mhe: Zulfa Mmaka Omar, mara baada ya kufanya kazi ya usafi hospitalini hapo na kuwapa zawdi watoto waliolazwa
Daktari Dhamana wa hospitali ya Chakechake kulia Ali Habib, akisalimiana na na mjumbe wa baraza la wawakilishi nafasi za vijana mkoa wa kusini Pemba, Mhe: Zulfa Mmaka Omar mara baada ya mwakilishi huyo na vijana, kufanya usafi wa mazingira hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.