Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja ziarani Sweden

Mkuu wa Wilaya  ya Kusini Unguja, ndugu Idrissa Kitwana Mustafa awasili leo Sweden akifuatana na ujumbe wa watu kumi kutoka Makunduchi. Kwenye uwanja wa ndege wa Arlanda Sweden Mkuu huyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake beans Bojorn Sweden juu ya kuimarisha uhusiano uliokuwepo Kati ya Wadi ya Makunduchi na Manispaliti ya Sindsvall.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.