Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya kuhusu utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika  kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya  katika  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja
Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo   akisoma   utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika  kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe,Harusi Saidi Suleiman
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika ya Wizara ya Afya   wakiwa katika kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo   Ikulu Mjini Unguja
Viongozi katika Wizara ya Afya wakiwa katika  kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya kuhusu utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika  kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Maafisa  wa Idara mbali mbali katika ya Wizara ya Afya   wakiwa katika kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt.Juma Malik Akil (katikati) akitoa ufafanuzi wa vifungu wakati wa  kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),wengine (kulia)Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Dk.Jamala Adam Taib (kulia) na Mshauri wa Rais ushikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Mhe,Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa, [Picha na Ikulu.] 21/10 /2016. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.