Habari za Punde

Wanafunzi skuli ya Sekondari Madungu wajifunza kwa vitendo kwa kutembelea maeneo ya kihistoria

WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari Madungu Chake Chake Pemba, wakipata maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa shirika la bandari, juu ya matumizi ya mnara wa kuongozea meli ulioko Kigomasha Wilaya ya Micheweni
Kisiwani Pemba, mnara huo ni moja ya minara muhimu ya kuongozea meli mbali mbali katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

WANAFUNZI wa Skuli ya Madungu Sekondari wakiwa katika moja ya mapango muhimu ya Kihistoria na kivutio kikubwa cha watalii, pango hatoro liloko Makangale Wilaya ya Micheweni, wanafunzi hao walifika huko kujionea vivutio mbali mbali vya Utalii vilivyoko Makangale.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.