SUALA la Mabadiliko ya Tabia ya nchi limekuwa ni tishio kubwa katika dunia, hali hiyo imepelekea kukauka kwa malisho ya wanyama. Pichani ng'ombe wakihangaika kutafuta majani huko Wilaya ya Micheweni Kisiwani
Pemba.(Picha na Ali Mbarouk, ZAC-PEMBA.)
No comments:
Post a Comment