Habari za Punde

Naibu Waziri wa Elimu atembelea Maktaba Chakechake Pemba


 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na Wafanyakazi wa Maktaba huko Kisiwani Pemba, akiwa katika ziara ya kikazi

 Baadhi  ya Wafanyakazi wa Maktaba Pemba, wakitowa maelezo kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar , Mmanga mjengo Mjawiri , huko katika Ofisi ya Maktaba wakati Naibu huyo alipofanya ziara ya kuzungumza na kuangalia Maktaba hiyo.

 Baadhi  ya Wafanyakazi wa Maktaba Pemba, wakitowa maelezo kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar , Mmanga mjengo Mjawiri , huko katika Ofisi ya Maktaba wakati Naibu huyo alipofanya ziara ya
kuzungumza na kuangalia Maktaba hiyo.
 Naibu Waziri wa Elimu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akiangalia Vitabu katika Maktaba ya Chake Chake Pemba
Baadhi ya vijana wakiwa katika Maktaba ya  Chake Chake Pemba,wakijipatia mambo mbali mbali yanayohusiana na Elimu.

Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.