Habari za Punde

Tangazo la Kifo la Sharifa Shauri Mjaka Bi Shery. kilichotea Jana.

Wadau Nasikitika kutangaza Tangazo la Kifo cha Mama yangu Mkubwa Bi.Sharifa Shauri Mjaka kilichotokea Jana Amaan Magogoni jirani na Skuli ya Msingi Magogoni na maziko yatafanyika Leo Saa Saba mchana Amani magogoni baada ya sala ya adhuhuri na kuzikwa Kiboje kidimzi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.