Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar KVZ na Malindi. Timu ya KVZ Imeshinda 3--0.

Mchezaji wa Timu ya KVZ akizuiya mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Timu ya KVZ imeshinda 3--0
Benchi la Ufundi la Timu ya Malindi wakiwa wamepigwa na mshangao baada ya timu yao kukubali kipigo cha mabao 3--0, dhidi ya Timu ya KVZ wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.


Kocha mkuu wa Timu ya Malindi akiwafariji wachezaji wake baada ya mchezo huo kumalizika kwa kukubali kipigo cha mabao 3--0 dhidi ya timu ya KVZ mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.