Habari za Punde

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Dimani achukua fomu

Mh. Juma Ali Juma akionesha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dimani Kwa tiketi ya Chama cha CCM ,mara tuu baada ya kuchukuwa katika Ofisi za muda za tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC)  ziliopo Skuli ya Sekondari ya Kiembe samaki. Kulia ni Ali Suleiman Shihata, kushoto wa mwanzo Abdalla Faki Mwenyekiti wa ccm Wilaya ya diman kichama, alovaa kofia ni Mjumbe Msuri Mjumbe Mwenyekiti wa wilaya ya Mfenesini kichama

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.