Habari za Punde

Mkurugenzi mkuu SOS azindua mradi wa vyoo skuli ya Michenzani Wilaya ya Mkoani

 MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali Tanzania (SOS) Anatoli Rugaimukamu akizindua mradi wa vyoo viwili vyenye matundu 10 vya skuli ya Michezani Wilaya ya Mkoani vilivyogharimu zaidi ya Milioni 14.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi na Sekondari Michenzani Wilaya ya Mkoani, wakimsikiliza kwa makini mkurugenzi mtendaji wa SOS Tanzania, wakati alipokuwa akizungumza na wanafunzi hao.(PICHA NA ABDI  SULEIMAN,PEMBA)
 MRATIB wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ramla Abass Farahan akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Msingi na Sekondari Michenzani Wilaya ya Mkoani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKURUGEZNI Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali Tanzania (SOS) Anatoli Rugaimukamu akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Sekondari na Msingi Michenzani Wilaya ya Mkoani, mara baada ya kufungua mradi wa
vyoo kwa skuli hiyo livyogharimu zaidi ya Milioni 14.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.