Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibouti

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) ambako alifika katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi na inayotarajiwa kusafirishwa katika nchi mbali mbali Duniani,Rais alifika katika sehemu hiyo jana akimalizia ziara yake ya siku tatu  Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh,[Picha na Ikulu.] 09/05/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) ambako alifika katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi  Nchini Djibouti ambapo alitembelea akiwa na ujumbe wake akimalizia  ziara ya kiserikali jana  Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiangalia Chumvi ya aina tofauti ikiwemo ya matumizi ya kawaida na yakukogea wakati walipotembelea katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi  Nchini Djibouti Lake Assal Port  akiwa na ujumbe wake akimalizia  ziara ya kiserikali jana  Nchini Djibouti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) pamoja ujumbe wake wakati alipotembelea eneo linalotoa Chumvi kwa wingi Lake Assal Port ambayo huchimbuka chini ya ardhi wenyewe bila ya kutengenezwa inayotarajiwa kusafirishwa katika nchi mbali mbali Duniani,Rais alifika katika sehemu hiyo jana akimalizia ziara yake ya siku tatu  Nchini Djibouti

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiinama kuokota chumvi wakati alipofika na ujumbe wake kutembelea eneo linalotoa Chumvi kwa wingi Nchini Djibouti,akifuanata na mkewe Mama Mwanamwema Shein,Rais na Ujumbe wake alifika katika eneo hilo la Lake Assal Port akimalizia ziara yake Nchini Djibouti

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.