MENEJA wa Hoteli ya Archipelago Sushanta, akitoa maelezo kwa Viongozi wa Bodi ya Mapato
Zanzibar (ZRB) wakati walipomtembelea kumfariji mwekezaji huyo, baada ya hoteli
hiyo sehemu ya chini kuingia maji kufuatia mvua zilizonyesha Kisiwani hapa.
MENEJA
wa Hoteli ya Archipelago Sushanta akitoa maeleozo kwa Viongozi wa Bodi ya
Mapato Zanzibar (ZRB) kufuatia sehemu ya mitambo ya Umeme kuharibika baada ya
kuingia maji ya Mvua, kufuatia mvua zilizonyesha Kisiwani Pemba na kupelekea
hasara mbali mbali kwa hoteli hiyo.
BAADHI
ya Viti vilivyoathirika katika hoteli ya Archipelago kufuatia sehemu ya kumbu
za hoteli hiyo za chini kuingia maji ya Mvua iliyokuwa ikinyesha na kuharibu
vitu mbali mbali katika hoteli hiyo.
MENEJA
wa Hoteli ya Archipelago Sushanta, akiwaonyesha baadhi ya Vitu vilivyoharibika
katika hoteli hiyo Viongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), kufuatia kuingia
maji kwa sehemu ya chini ya hoteli hiyo iliyopo mjini Chake Chake.
Picha na Abdi Suleiman. Pemba)
No comments:
Post a Comment