Habari za Punde

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi wakiwa katika Zoezi la Uzimaji Moto Jumba Namba 10. Michenzani

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi wakiwa katika zoezi la kuzima moto uliokuwa ukiwa katika jumba la michezani sehemu ya chini ya jengo hilo haijulikani ni nana aliyetia moto huo katika eneo hilo la chini ya majengo hayo huwa wazi, hakuna athiri yoyote iliyotokea ya mali na kujeruhi wananchi.  

Wananchi wa eneo la gongoni wakiangali tukio hilo la uziomaji wa moto huo katika jumba namba 10  sehemu ya chini ya jengo hilo siyo makazi ya watu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.