WANANCHI wa
Tumbe, Kamati za mazingira na jumuiya ya Vijana Wa Tumbe na Viongozi wa
Serikali wakipanda miti ya Mikoko katika bonde la Pondeani Tumbe, katika
maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MITI mbali
mbali ya Mikoko ikiwa imepandwa katika bonde la Pondeani Tumbe, katika
maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambayo huadhimishwa kila Juni 5 ya
Kila mwaka.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
AFISA
habari kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Nassor Ali Salum akizungumza na
waandishi wa habari, mara baada ya kumaliza kazi ya upandaji wa Mikoko huko
Tumbe, katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment