Habari za Punde

Kampuni ya Simu ZANTEL Yatoa Elimu Kuhusu Huduma Zake Kwa Wakazi wa Mbangala na Kongowe Jijini Dar. es Salaam.

Afisa wa Zantel Kassongo Faraji (katikati) akifafanua jambo kwa mteja mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.
Afisa Usajili wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Hussein Ahmed Abdallah (kushoto) akifafanua jambo kwa mteja mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.
Afisa wa Zantel, Abdallah Mabuga (kulia) akifafanua jambo kwa mkazi na mfanyabiashara wa Mbagala Zakhem Juma Pazi (katikati) mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake. Kushoto ni Afisa usajili wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Hussein Ahmed Abdallah.
Afisa wa Zantel Thadey Lucas (kulia) akimsajili Mkazi wa Mbagala, Hamdan Ally (katikati) mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake. Anayeshuhudia kushoto ni mkazi wa Kongowe Abdul Ally.
Afisa wa Zantel Rehema Tarimu (kushoto) akimsajili Mkazi wa Kongowe jijini Dar es Salaam, Abdul Ally mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini humo mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.
Afisa wa Zantel Rehema Tarimu (kulia) akimkabidhi zawadi Mkazi wa Kongowe jijini Dar es Salaam, Abdul Ally mara baada ya Kampuni hiyo kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini humo mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.
Muuzaji wa bidhaa za Zantel, Madeline Amos akizungumza na mteja mara baada ya Kampuni ya Zantel kuwatembelea wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma na kutoa elimu kuhusiana na huduma zake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.