Habari za Punde

Mchezo wa Kirafi Kati ya Simba na Mlandege Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0.

Kikosi cha Timu ya Simba kiingia Uwanja tayari kupambana na Timu ya Mlandege katika mchezo wake wa kujipima nguvu kujiandaa na Mchezo wa Ngao ya Isani na Watao wao Yanga siku ya tarehe 23mwezi huu jijini Dar es Salaam.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.