Mshambuliaji wa Timu ya Yanga African akimpita beki wa timu ya mlandege wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo bao 2--0 uliofanyika usiku na kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa Soka Zanzibar.
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment