Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Salum Maulid akifungua mafunzo ya Mapishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Instituteof Food and Fermentation Industries (CNRIFFI) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Kikwajuni Zanzibar na kukabidhi Vyeti kwa Washiriki wa mafunzo hayo ya wiki mbili yaliowashirikisha Wahuduma wa SMZ na Walimu wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
JWTZ yajivunia kutoa msaada na uokoaji kwa binadamu
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa limesema limeimarisha uwezo wa
Jeshi la Kujenga Taifa (JWTZ) katika shughul...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment