KAMADA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Sheikhan
Mohamed Sheikhan, akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani, mbinu mpya
zinazotumiwa na wasafirishaji wa madawa ya kulevya, kutoka Unguja na kuingia
Pemba kwa kupekiwa ndani ya DVD,jeshi hilo limekamata kete 969 zikiwa
zimehifadhiwa humo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI MASAUNI ATOA ONYO UZALISHAJI NA MATUMIZI BIDHAA ZA PLASTIKI
-
SERIKALI imetoa onyo kali kwa watu na kampuni zinazoendelea kuzalisha
bidhaa za mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku na kuingiza katika
matumizi kwa nji...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment