MUONEKANO wa Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) lililofunguliwa leo 16-7-2025 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)
Maisara Jijini Zanzibar leo 16-7-2025 kwa ajili ya ufunguzi wa Ofisi za Tume
hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ufunguzi
huo uliyofanyika leo 16-7-2025 na (kushoto Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar Mhe.Jaji George Jiseph Kazi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakipongeza
baada ya kulifungua Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)
lilioko Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika
leo 16-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kilifungua Jengo Jipya la
Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar hafla hiyo
iliyofanyika leo 16-7-2025, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya
Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jaji Georg Joseph Kazi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina (kushoto kwa Rais) wakati akitembelea Ofisi za
Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini
Zanzibar baada ya kulifungua leo
16-7-2025 na (kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman
Abdulla
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina wakati akitembelea Ofisi za
Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini
Zanzibar, baada ya kulifungua leo l6-7-2025
na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman
Abdulla na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Georg Joseph
Kazi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Shukrani na
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Georg Joseph Kazi, wakati wa
hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)
Maisara Jijini Zanzibar ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-7-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa
Jengo Jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini
Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi wa Afisi za Tume uliyofanyika leo 16-7-2025.
No comments:
Post a Comment