Habari za Punde

Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Azungumza Katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Wajumbe wa Kikao cha  Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua kikao hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli (kushoto) alipokuwa akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli (kushoto) alipokuwa akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli (katikati) alipokuwa akiendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo
Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,(kutoka kulia) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungamo Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa,Spika wa Bunge Jamhuri nya Muungano Mhe.Job Ndugai,Spika wa baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,

Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 30/09/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.