Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wakicheza pamoja na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Kamishna Silayo: Misitu Ni Mkombozi wa Uchumi na Mazingira, Wananchi
Watumie Fursa Zilizopo
-
Na Mwandishi Wetu
Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof.
Dos Santos Silayo, amewahimiza Watanzania kutumia kikamilifu fur...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment