Habari za Punde

uzinduzi wa Ushirika Online TV katika hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Ushirika Online TV katika hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani yaliyofanyika Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.