Mchezaji wa Timu ya Duma akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Netiboli Kanda ya Unguja inayofanyika katika viwanja vya Gymkhana Unguja Timu ya Duma imeshinda kwa mabao 46-34.
TADB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA
-
Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa kwa mwaka 2026 yameanza
rasmi leo tarehe 19 Januari, 2026 katika Viwanja vya Usagara vilivyopo
jijini Tanga....
1 hour ago
0 Comments