Kikosi cha Waamuzi waliochezesha mchezo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkumbozi Cup 2017. wakwanza Rashid Ramadhani, Suleiman Zuhuri, Abubakary Khatib na Hija Haji. kushoto Nahodha wa Timu ya PBZ Said Khamis Mussa na kushoto Nahodha wa Timu ya FFU Khamis Said Abdallah.
Kikosi cha Timu ya PBZ kikipasha kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup 2017.

Kikosi cha Timu ya FFU kikipasha kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup 2017.
No comments:
Post a Comment