Habari za Punde

Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya Kufanyika Visiwani Zanzibar.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dk,Fadhil Abdalla akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani mjini Unguja.ukizungumzia masuala mbalimbali ya Kinga na  Afya kwa Mama na Mtoto.
Meneja msaidizi wa Kitengo shirikishi Ukimwi,Kifua Kikuu,Ukoma na Homa ya Ini Wizara ya Afya Zanzibar Issa Abeid Mussa akitolea ufafanuzi wa maswala mbalimbali yalioulizwa  katika Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani mjini Unguja.ukizungumzia masuala mbalimbali ya Kinga na  Afya kwa Mama na Mtoto.
Baadhi ya Wanahabari waliohudhuria katika Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani mjini Unguja.ukizungumzia masuala mbalimbali ya Kinga na  Afya kwa Mama na Mtoto.
Afisa kutoka Kitengo shirikishi Afya ya Mama na Mtoto Kitengo cha Chanjo akitoa mada kuhusiana na Chanjo kwa mama na Mtoto katika Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani mjini Unguja.ukizungumzia masuala mbalimbali ya Kinga na  Afya kwa Mama na Mtoto.
Afisa uhamasishaji Kitengo Shirikishi Afya ya Mama na Mtoto Kassim Issa Kirobo akitoa mada kuhusiana na Uzazi wa Mpango  katika Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani mjini Unguja.ukizungumzia masuala mbalimbali ya Kinga na  Afya kwa Mama na Mtoto.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Halima ALi Khamis akizungumza machache na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani mjini Unguja..ukizungumzia masuala mbalimbali ya Kinga na  Afya kwa Mama na Mtoto.
Mwandishi wa Habari wa ZBC Redio Said suleiman akiuliza maswali  katika Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani mjini Unguja.ukizungumzia masuala mbalimbali ya Kinga na  Afya kwa Mama na Mtoto.






























































































































































No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.