Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Amuapisha Naibu Mkuu wa KMKM Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 19/10/2017.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis,iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Makamanda wa Kikosi cha KMKM waliofika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar wakati wa kuapishwa kwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis (hayupo pichani) hafla iliyofanyika Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi baada ya kumuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM Kapteni Khamis Simba Khamis (wa pili kulia) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 19/10/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.