MKUU wa mkoa wa kusini Pemba, Mwanajuma
Majid Abdalla, akiwa na mgeni wake Waziri wa Mafuta na Gesi wa serikali ya Oman
Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi wakati alipowasili na ujumbe wake kwa ziara ya
kutwa moja kisiwani Pemba, wakiwa uwanja wa ndege wa Karume kisiwani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mafuta na Gesi wa serikali ya
Oman Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi, akisalimiana na Mdhamini wa kamisheni ya
utalii kisiwani Pemba, Suleiman Amour wakati waziri huyo na ujumbe wake mara
baada ya kuwasili uwanja wa ndege Pemba, kwa ziara ya kutwa moja, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mafuta na Gesi wa serikali ya Oman Mohammed
Bin Hamed Al Ruhmi (mwenye kofia), akisalimiana na kiongozi mkuu wa madaktari
wa kichina dk Chen Er Dong, wakati waziri huyo wa ujumbe wake ulipofika
hospitali hapo, kwa ziara ya kutwa moja, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mafuta na Gesi wa serikali ya Oman
Mohammed Bin Hamal Al-Ruhmi akikaguzwa hospitali ya Abdulla Mzee, pamoja na ujumbe wake waliofika kwenye
hospiali hiyo kwa ziara ya siku moja kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mafuta na Gesi wa serikali ya Oman
Mohammed Bin Hamal Al-Ruhmi akikaguzwa hospitali ya Abdulla Mzee, pamoja na ujumbe wake waliofika kwenye
hospiali hiyo kwa ziara ya siku moja kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mafuta na Gesi wa serikali ya
Oman, Mohammed Bin Hamal Al-Ruhmim akisalimiana na Mwalimu wa skuli ya
sekondari ya Uweleni Mkoani Pemba, waziri huyo alipoitembelea skuli hiyo
aliosoma, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku moja kisiwani humo, (Picha na
Haji Nassor, Pemba),
WAZIRI
wa Mafuta na Gesi wa serikali ya Oman, Mohammed Bin Hamal Al Ruhmi, akifurahia jambo na Mwalimu
mkuu wa skuli ya Uweleni, Shehe Hassan, skuli ambayo waziri huyo alisoma, ( Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mafuta na Gesi wa serikali ya
Oman Mohammed Bin Hamal Al Ruhmi, akinywa maji ya dafu, wakatialipofika kijiji
cha Shumba vyamboni wilaya ya Micheweni Pemba pamoja ujumbe wake, ikiwa ni
sehemu ya ziara yake ya kutwa moja kisiwani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
: WAZIRI wa Mafuta na Gesi wa serikali ya
Oman Mohammed Bin Hamal Al-Ruhmi, wakijipatia chakula cha mchana, wakati yeye
na ujumbe wake walipofika kijiji cha Shumba vyamboni wilaya ya Micheweni
kisiwani Pemba, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku moja kisiwani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MKUU wa Idara ya misitu Pemba Said Juma
Ali, akiueleza ujumbe wa serikali ya Oman uliokuwa ukiongozwa na waziri wa
Mafuta na Gesi Mohammed Bin Hamal Al-Ruhmi, historia ya msitu wa hifadhi wa
Ngezi uliopo Micheweni mkoa wa kaskazini Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
UJUMBE wa serikali ya Oman ukiongozwa na Waziri wa
Mafuta na Gesi Mohammed Bin Hamal Al-Ruhmi, ukiwa kwenye sehemu mbali mbali za
kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Chakechake Pemba, pamoja na mwenyeji wao
Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, ambapo Meneja uzalishaji
Ramadhan, akiwapa maelezo, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).

No comments:
Post a Comment