Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi na Sekondari Chokocho Pemba Wakifanya Mitihani Yao.ya Kidatu cha Pili.

Mkurungenzi Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Bi Mashavu Ahmada Faki akiwa katika ziara ya kutembelea Watahiniwa wa Kidatu cha Pili wakati wa zoezi la Ufanyaji wa Mitihani yao akiwa katika ziara ya kutembelea Skuli zinazoendelea na Mitihani yao alitembelea Skuli za Chokocho, Uweleni,Michezani, Mkanyageni na Makombeni kwa Wilaya Mkoani Pemba kuagalia zoezi hilo linavyoendelea katika Skuli hizo.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.