Habari za Punde

Maafisa wa ZECO wazungumza na Masheha wa Wilaya ya Mkoani

 MKUU wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na masheha wa Wilaya hiyo wakati maafisa wa la umeme ZECO Tawi la Pemba, walipofika kuzungumza nao juu ya suala zima la ubadilishaji wa mita za zamani na kuwekwa Tukuza, utunzaji wa Miundombinu ya Umeme katika shehia.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA uhusiano wa Shirika la Umeme Zanzibar Salum Abdalla Hassan, akizungumza na masheha wa Wilaya ya Mkoani juu ya suala zima la mikakati ya shirika hilo katika kuboresha huduama za umeme.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 BAADHI ya masheha wa Wilaya ya Mkoani wakifuatilia kwa makini, taaluma wanayopatiwa kutoka kwa maafisa wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO, huku katika ofisi ya mkuu wa Wilaya hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MMOJA wa Masheha wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, akichangia katika kikao cha masheha, Mkuu wa Wilaya hiyo na maafisa kutoka shirika la umeme Zanzibar ZECO, juu ya kuelimishana mambo mbali mbali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.