Mwenyekiti wa ChamaCha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kulia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana , Makamu Mwenyekiti CCM Bara Philip Mangula Rais Mstaaf wa Tanzania Benjam Mkapa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk. Amani Karume kushoto Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu, Rais Mstaaf wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi a Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete. wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA LINDI YA UDSM
-
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa
Kampasi ya Lindi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika eneo la Ngongo
mkoani Lindi na...
1 hour ago
0 Comments