Habari za Punde

Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed kulia akimkabidhi makabrasha ya Vitendea Kazi vya Ofisi ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, wakishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Khadija Bakari Juma na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Bwana. Shaban Seif Mohammed, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed kulia akimkabidhi Hati ya Makabrasha ya Ofisi ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar ,Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo,hafla hiyo ya makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.