Habari za Punde

Karume Boys yafungiwa CECAFA U 17 kwa kupelekea vijeba


TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Zanzibar, Karume Boys imefungiwa mwaka mmoja kushiriki michuano ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Cup U17 na kupigwa faini ya dola za Kimarekani 15,000 kwa kosa la kupeleka wachezaji waliozidi umri.


Michuano ya CECAFA Challenge Cup U17 inaendelea nchini Burundi na Zanzibar inadaiwa kuorodhesha wachezaji waliozaliwa kabla ya Januari 1 mwaka 2002, ambao wazi wamezidi umri unaotakiwa wa miaka 17.

Jana timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania Bara, Serengeti Boys ilitoa sare ya 1-1na Uganda katika mechi yake kwanza ya michuano hiyo.


Cecafa expel Zanzibar from U-17 championship in Burundi
The Council for East and Central Africa Football Associations (Cecafa) has expelled Zanzibar from the ongoing Cecafa Under 17 Championship in Burundi, for using ineligible players. "Zanzibar presented nine players over the age limit for their intended opening Group B match against Sudan on ...

1 comment:

  1. Mbona mnawaonea, walozaliwa 2002 wanatimua miaka 16 in 2018 sasa wamezidi vipi au mnaogopa wala urojo?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.