Habari za Punde

Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba

 Mdhamini wa Mamlaka ya mapato TRA Tawi la Pemba, Habibu  Saleh Sultan, akimkaribisha Ofisa Mdhamini Wizara ya Fedha Pemba, Ibrahim Saleh Juma , kufunguwa mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani humo juu ya ukusanyaji wa mapato uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji wa Chake Chake Pemba.

Ofisa Mdhami wizara ya Fedha Pemba , Ibrahim Saleh Juma, akifunguwa mkutano kwa Wahasibu wa taasisii mbali mbali Kisiwani Pemba, juu ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali , ulioandaliwa na TRA na ZRB.


 Ofisa Elimu na huduma kwa walipakodi wa TRA Zanzibar, Abdalla Seif Abdalla, akitowa mada juu ya ukusanyaji wa mapato ya serikali na kuyasalisha kwa wakati uanofaa, kwa wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba huko katika ukumbi wa Baraza la Mji wa Chake Chake Pemba.
 Msaidizi Meneja wa  ZRB Pemba, Ali Omar Massoud,akitowa ufafanuzi juu ya masuala mbali mbali yalioulizwa na wahasibu huko katika ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake juu ya Kodi ya Zuwio.

Muhasibu wa Wizara ya Ujenzi, Mwasiliano na Usafirishaji Pemba, Abdulghan Abdalla Said, akiuliza swali juu ya kodi ya Zuwio kwa wakandarasi kutoka nje wanaokuja kufanyakazi Kisiwani Pemba , wakati mkataba wa kazi wamesaini Unguja.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.