Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo Akiwa na Kiarabu kichoandikwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar DK.Salmin Amour Juma,nikiwa katika Idara ya Nyaraka Zanzibar kwaajili ya kumbukumbu za kihistoria ya Zanzibar kwa wananchi na Wageni wanaofika kujisonea kulia Mkurugenzi wa Idara ya Nyaraka Zanzibar.Ndg.Salum Suleiman.
WAKULIMA WAASWA KUWEKEZA KWENYE VITUO VYA MAFUTA,BIASHARA YA LPG
-
*Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Balozi Simon Sirro,akipata maelezo kutoka kwa
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA Kanda ya ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment