Habari za Punde

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Mhe..Shaka Hamdu Akabidhi Ofisi Kwa Katibu Mkuu Mpya wa UVCCM

Aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka amkabidhi nyaraka ikiwa ni ishara ya makabidhino ya ofisi Katibu Mkuu wa UVCCM  Ndugu Raymound S  Mwangala leo ofisi ndogo za Umoja wa Vijana Upanga Dar Es Saalam.

Ndugu  Shaka Hamdu Shaka  ni naibu Katibu Mkuu wa UVCCM  Zanzibar alikaimu nafasi hiyo baada ya aliekuwa Katibu Mkuu UVCCM Ndugu Sixtus Mapunda kuchukua likizo ya miaka 5 kutumikia wananchi katika jimbo la Mbinga Mkoa wa Ruvuma.* Raymond Mwangwala

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.